Yakobo 2:21 BHN

21 Je, Abrahamu babu yetu alipataje kukubaliwa kuwa mwadilifu? Kwa matendo yake, wakati alipomtoa tambiko mwanawe Isaka juu ya madhabahu.

Kusoma sura kamili Yakobo 2

Mtazamo Yakobo 2:21 katika mazingira