Yakobo 2:25 BHN

25 Ilikuwa vivyo hivyo kuhusu yule malaya Rahabu; yeye alikubaliwa kuwa mwadilifu kwa sababu aliwapokea wale wapelelezi na kuwasaidia waende zao kwa kupitia njia nyingine.

Kusoma sura kamili Yakobo 2

Mtazamo Yakobo 2:25 katika mazingira