Yakobo 2:8 BHN

8 Kama mnaitimiza ile sheria ya ufalme kama ilivyoandikwa katika Maandiko Matakatifu: “Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe”, mtakuwa mnafanya vema kabisa.

Kusoma sura kamili Yakobo 2

Mtazamo Yakobo 2:8 katika mazingira