Yakobo 3:1 BHN

1 Ndugu zangu, wengi wenu msiwe waalimu. Kama mjuavyo, sisi waalimu tutapata hukumu kubwa zaidi kuliko wengine.

Kusoma sura kamili Yakobo 3

Mtazamo Yakobo 3:1 katika mazingira