Yakobo 3:4 BHN

4 Meli nazo pia, ingawa ni kubwa sana, na husukumwa na upepo mkali, huweza kugeuzwa kwa usukani mdogo sana, zikaelekea kokote nahodha anakotaka.

Kusoma sura kamili Yakobo 3

Mtazamo Yakobo 3:4 katika mazingira