Yakobo 3:9 BHN

9 Kwa ulimi sisi twamshukuru Bwana na Baba yetu. Kwa ulimi huhuo twawalaani watu, watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu.

Kusoma sura kamili Yakobo 3

Mtazamo Yakobo 3:9 katika mazingira