Yakobo 5:13 BHN

13 Je, pana mtu yeyote miongoni mwenu aliye na shida? Anapaswa kusali. Je, yuko mwenye furaha? Anapaswa kuimba nyimbo za sifa.

Kusoma sura kamili Yakobo 5

Mtazamo Yakobo 5:13 katika mazingira