Yakobo 5:17 BHN

17 Elia alikuwa binadamu kama sisi. Aliomba kwa moyo mvua isinyeshe, nayo haikunyesha nchini kwa muda wa miaka mitatu na miezi sita.

Kusoma sura kamili Yakobo 5

Mtazamo Yakobo 5:17 katika mazingira