14 Waamoni walipoona kuwa Waaramu wamekimbia, nao pia walimkimbia Abishai na kuingia mjini. Yoabu akaacha kupigana na Waamoni, akarudi Yerusalemu.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 10
Mtazamo 2 Samueli 10:14 katika mazingira