16 Hadadezeri aliagiza Waaramu waliokuwa ngambo ya mto Eufrate waletwe, wapelekwe huko Helamu wakiongozwa na Shobaki kamanda wa jeshi la Hadadezeri.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 10
Mtazamo 2 Samueli 10:16 katika mazingira