18 Lakini Waaramu walikimbia mbele ya Waisraeli. Daudi aliwaua Waaramu 700 waliokuwa madereva wa magari ya vita, wapandafarasi 40,000. Pia alimwumiza Shobaki kamanda wa jeshi lao, naye akafia papo hapo.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 10
Mtazamo 2 Samueli 10:18 katika mazingira