2 Samueli 10:8 BHN

8 Waamoni walitoka na kujipanga tayari kwa vita kwenye lango la mji wa Raba, mji wao mkuu; nao Waaramu kutoka Soba na Rehobu na watu kutoka Tobu na Maaka walijipanga nyikani.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 10

Mtazamo 2 Samueli 10:8 katika mazingira