2 Samueli 11:17 BHN

17 Wakazi wa mji huo walitoka katika mji wao na kupigana na Yoabu. Baadhi ya watumishi wa Daudi, waliuawa. Uria Mhiti naye aliuawa pia.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 11

Mtazamo 2 Samueli 11:17 katika mazingira