11 Sikiliza, Mwenyezi-Mungu asema, ‘Tazama, nitazusha maafa katika jamaa yako mwenyewe. Nitawachukua wake zako ukiona kwa macho yako mwenyewe na kumpa jirani yako, naye atalala nao hadharani.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 12
Mtazamo 2 Samueli 12:11 katika mazingira