13 Basi, Daudi akamwambia Nathani, “Nimetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi-Mungu.” Nathani akamwambia, “Mwenyezi-Mungu amekusamehe dhambi yako, nawe hutakufa.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 12
Mtazamo 2 Samueli 12:13 katika mazingira