2 Samueli 12:16 BHN

16 Daudi alimwomba Mungu mtoto apate nafuu. Alikwenda chumbani kwake, na usiku kucha akalala sakafuni.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 12

Mtazamo 2 Samueli 12:16 katika mazingira