2 Samueli 13:16 BHN

16 Tamari akamjibu, “Sivyo kaka yangu; ovu hili kubwa la kunifukuza ni baya zaidi kuliko lile ulilonitendea.” Lakini Amnoni hakutaka kumsikiliza.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:16 katika mazingira