18 Amnoni na yule kijana wakamtoa nje na kuufunga mlango kwa komeo. Tamari alikuwa amevaa vazi refu lenye mikono mirefu kwani hivyo ndivyo walivyovaa mabikira wa mfalme zamani hizo.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 13
Mtazamo 2 Samueli 13:18 katika mazingira