2 Samueli 13:2 BHN

2 Amnoni aliteseka sana hata akajifanya mgonjwa kwa sababu ya dada yake Tamari hasa kwa vile Tamari alikuwa bikira, na ilionekana jambo lisilowezekana kwa Amnoni kufanya chochote naye.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:2 katika mazingira