2 Samueli 13:20 BHN

20 Kaka yake, Absalomu, alipomwona, alimwuliza, “Je, Amnoni kaka yako amelala nawe? Tulia dada yangu. Yeye ni kaka yako. Usilitie jambo hilo moyoni mwako.” Hivyo, Tamari aliishi katika nyumba ya Absalomu akiwa na huzuni na mpweke.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:20 katika mazingira