2 Samueli 13:31 BHN

31 Mfalme Daudi aliinuka, akararua mavazi yake kwa huzuni akalala chini. Hata na watumishi wake wote waliokuwa wamesimama karibu naye walirarua mavazi yao.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:31 katika mazingira