34 Lakini Absalomu alikuwa amekwisha kimbia. Naye kijana aliyekuwa na zamu ya ulinzi, mara akaona kundi kubwa la watu wanakuja kutokea mlimani katika barabara ya kutoka Horonaimu.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 13
Mtazamo 2 Samueli 13:34 katika mazingira