2 Samueli 13:6 BHN

6 Hivyo, Amnoni akaendelea kulala kitandani, akijifanya mgonjwa. Mfalme alipokwenda kumwona, Amnoni alimwambia, “Nakuomba, Tamari aje hapa anitengenezee mikate michache huku nikimwangalia. Halafu yeye mwenyewe anilishe.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:6 katika mazingira