18 Ndipo mfalme alipomjibu yule mwanamke, “Usinifiche jambo lolote nitakalokuuliza.” Yule mwanamke akasema, “Sema bwana wangu mfalme.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 14
Mtazamo 2 Samueli 14:18 katika mazingira