22 Yoabu alianguka chini kifudifudi, akasujudu na kumtakia mfalme baraka, akasema, “Leo, mimi mtumishi wako, bwana wangu mfalme, ninajua kuwa nimepata kibali mbele yako, kwa kulikubali ombi langu.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 14
Mtazamo 2 Samueli 14:22 katika mazingira