4 Huyo mwanamke kutoka Tekoa akaenda kwa mfalme, akaanguka kifudifudi, mbele ya mfalme, akasujudu, akamwambia, “Ee mfalme, nisaidie.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 14
Mtazamo 2 Samueli 14:4 katika mazingira