9 Yule mwanamke kutoka Tekoa akasema, “Bwana wangu mfalme, hatia yote na iwe juu yangu na juu ya jamaa ya baba yangu. Hivyo, wewe na ufalme wako msiwe na hatia.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 14
Mtazamo 2 Samueli 14:9 katika mazingira