2 Samueli 15:8 BHN

8 maana, mimi mtumishi wako, nilipoishi kule Geshuri katika Aramu, nilimwekea Mwenyezi-Mungu nadhiri nikisema kuwa kama Mwenyezi-Mungu atanirudisha mjini Yerusalemu basi, nitamwabudu yeye.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 15

Mtazamo 2 Samueli 15:8 katika mazingira