2 Samueli 16:21 BHN

21 Ahithofeli akamwambia Absalomu, “Waingilie masuria wa baba yako ambao aliwaacha kuangalia nyumba yake. Baadaye watu wote wa Israeli watakaposikia kwamba umechukizwa na baba yako, hapo watu wote walio pamoja nawe watatiwa nguvu.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 16

Mtazamo 2 Samueli 16:21 katika mazingira