2 Samueli 17:27 BHN

27 Daudi alipowasili Mahanaimu, Shobi mwana wa Nahashi Mwamoni, kutoka mji wa Raba; Makiri mwana wa Amieli kutoka mji wa Lo-debari, pamoja na Barzilai Mgileadi kutoka mji wa Rogelimu,

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:27 katika mazingira