2 Samueli 18:11 BHN

11 Yoabu akamwambia mtu huyo, “Nini? Ulimwona Absalomu? Kwa nini, basi, hukumpiga papo hapo hadi ardhini? Ningefurahi kukulipa vipande kumi vya fedha na mkanda.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:11 katika mazingira