2 Samueli 18:14 BHN

14 Yoabu akamwambia, “Mimi sina wakati wa kupoteza pamoja nawe.” Hapo Yoabu akachukua mikuki midogo mitatu mkononi mwake, akaenda na kumchoma Absalomu moyoni, Absalomu akiwa bado hai kwenye tawi la mwaloni.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:14 katika mazingira