2 Samueli 18:17 BHN

17 Wakamchukua Absalomu wakamtupa kwenye shimo kubwa msituni na kurundika rundo kubwa sana la mawe. Watu wote wa Israeli wakakimbia, kila mmoja nyumbani kwake.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:17 katika mazingira