2 Samueli 18:9 BHN

9 Kisha Absalomu, akiwa amepanda nyumbu, alikutana na watumishi wa Daudi. Nyumbu huyo alipokuwa anapita chini ya tawi kubwa la mwaloni, hapo kichwa cha Absalomu kikakwama kwenye mwaloni. Absalomu akaachwa ananinginia juu. Lakini nyumbu wake akaendelea mbele.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:9 katika mazingira