2 Samueli 19:27 BHN

27 Sasa, amenisingizia kwako, ee bwana wangu mfalme. Lakini wewe, bwana wangu mfalme, uko kama malaika wa Mungu. Fanya lolote unaloona ni jema kwako.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 19

Mtazamo 2 Samueli 19:27 katika mazingira