2 Samueli 19:40 BHN

40 Mfalme aliendelea mpaka Gileadi, Kimhamu akawa anafuatana naye. Watu wote wa Yuda na nusu ya watu wa Israeli walikuwa wakimsindikiza mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 19

Mtazamo 2 Samueli 19:40 katika mazingira