2 Samueli 19:42 BHN

42 Watu wa Yuda wakawaambia watu wa Israeli, “Kwa sababu mfalme ni ndugu yetu wa karibu. Kwa nini mnakasirika kuhusu jambo hili? Je, tumekula chochote wakati wowote kwa gharama ya mfalme? Au je, yeye ametupa zawadi yoyote?”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 19

Mtazamo 2 Samueli 19:42 katika mazingira