2 Samueli 2:10 BHN

10 Ishboshethi alikuwa na umri wa miaka arubaini alipoanza kuitawala Israeli, naye alitawala kwa muda wa miaka miwili. Lakini kabila la Yuda lilimfuata Daudi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 2

Mtazamo 2 Samueli 2:10 katika mazingira