12 Abneri mwana wa Neri, pamoja na maofisa wa Ishboshethi, mwana wa Shauli, waliondoka Mahanaimu na kwenda Gibeoni.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 2
Mtazamo 2 Samueli 2:12 katika mazingira