2 Samueli 2:14 BHN

14 Abneri akamwambia Yoabu, “Waruhusu vijana wapambane mbele yetu!” Yoabu akamjibu, “Sawa.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 2

Mtazamo 2 Samueli 2:14 katika mazingira