16 Kila mmoja alimkamata adui yake kichwani, akamchoma mpinzani wake upanga, hivyo wote wawili wakaanguka chini, wamekufa. Hivyo, mahali hapo pakaitwa Helkath-hazurimu. Mahali hapo pako huko Gibeoni.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 2
Mtazamo 2 Samueli 2:16 katika mazingira