2 Samueli 2:2 BHN

2 Hivyo, Daudi alikwenda Hebroni, pamoja na wake zake wawili, Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili, mjane wa Nabali, kutoka mji wa Karmeli.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 2

Mtazamo 2 Samueli 2:2 katika mazingira