2 Samueli 2:32 BHN

32 Yoabu na watu wake waliuchukua mwili wa Asaheli, wakauzika kwenye kaburi la baba yake, lililoko huko Bethlehemu. Yoabu na watu wake walitembea usiku kucha, na kulipokucha wakafika mjini Hebroni.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 2

Mtazamo 2 Samueli 2:32 katika mazingira