2 Samueli 20:19 BHN

19 Mimi ni mmojawapo wa wale wanaopenda amani na uaminifu katika Israeli. Sasa wewe unakusudia kuuharibu mji ambao ni kama mama katika Israeli. Kwa nini sasa unataka kuuangamiza mji ulio mali yake Mwenyezi-Mungu?”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 20

Mtazamo 2 Samueli 20:19 katika mazingira