2 Hivyo, watu wote wa Israeli wakamwacha Daudi, wakamfuata Sheba mwana wa Bikri. Lakini watu wa Yuda walimfuata mfalme Daudi kwa uaminifu toka mto Yordani mpaka mjini Yerusalemu.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 20
Mtazamo 2 Samueli 20:2 katika mazingira