3 Daudi akawauliza Wagibeoni, “Niwatendee nini? Nitalipaje kwa maovu mliyotendewa ili mpate kuibariki nchi hii na watu wake Mwenyezi-Mungu?”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 21
Mtazamo 2 Samueli 21:3 katika mazingira