2 Samueli 22:1 BHN

1 Daudi alimwimbia Mwenyezi-Mungu maneno ya wimbo ufuatao siku ile Mwenyezi-Mungu alipomkomboa mikononi mwa adui zake, na mkononi mwa Shauli.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 22

Mtazamo 2 Samueli 22:1 katika mazingira