2 Samueli 22:7 BHN

7 “Katika taabu yangu, nilimwita Mwenyezi-Mungu;nilimwita Mungu wangu.Toka hekaluni mwake aliisikia sauti yangu,kilio changu kilimfikia masikioni mwake.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 22

Mtazamo 2 Samueli 22:7 katika mazingira