2 Samueli 23:23 BHN

23 Basi, akawa mashuhuri kati ya wale mashujaa thelathini, ingawa hakuwa kama wale mashujaa watatu. Na Daudi akampa cheo cha mkuu wa walinzi wake binafsi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 23

Mtazamo 2 Samueli 23:23 katika mazingira