2 Samueli 23:5 BHN

5 Hivyo ndivyo Mungu alivyoujalia ukoo wangu.Maana amefanya nami agano la kudumu milele;agano kamili na thabiti.Naye atanifanikisha katika matakwa yangu yote.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 23

Mtazamo 2 Samueli 23:5 katika mazingira